MATUMAINI MAPYA YA WENGER NDANI YA KIKOSI CHAKE NI KUTWAA TAJI LA EUROPA JE ITAWEZEKANA?.
Kikosi cha meneja wa Arsenal, Arsene Wenger hapo jana siku ya Alhamisi
kilifanikiwa kuchomoza na ushindi mnono wa mabao 2 – 0 ugenini dhidi ya
AC Milan hatua ya 16 bora ya michuano ya Europa League.
Waliyo funga magoli hayo ni Henrikh Mkhitaryan dakika ya 15 ya kipindi
cha kwanza na Aaron Ramsey akikamilisha idadi hiyo ya mabao kwa kufunga
la pili dakika ya 45 kabla ya kwenda mapumziko.
Matokeo ya ushindi ugenini dhidi ya Ac milan yanaelezwa kuibua hamasa kubwa ndani ya kikosi cha Arsenal na hata kwa mashabiki wa timu hiyo na hii ni kutokana na kupoteza takribani michezo minne katika ligi kuu soka nchini England.
Tazama baadhi ya picha za matukio ya mchezo wa Arsenal dhidi ya Ac Milan hapa chini.
Follow us on Instagram @Tiktaktz ili uwe wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo yote ndani ya nchi na nje ya nchi.

Baada ya matokeo hayo meneja wa klabu ya Arsenal, Mzee Wenger amesema kuwa yote kinachotakiwa ni ushindi.
Kinachotakiwa na kilicho muhimu kwetu ni ushindi tu, lakini siyo utimamu. Ni lazima tukamilishe kazi nyumbani, ninafuraha kuona juhudi zilizofanywa na wachezaji wangu.Hatupo katika nafasi ya kupoteza lakini hatupaswi kujiamini sana, tutapaswa kuendelea kuwa kimya hadi mwisho.

Post a Comment