PAUL POGBA ANAMUHITAJI KOCHA MOURINHO ILI KUREJEA KATIKA FOMU YAKE.
Paul Pogba anahitaji msaada wa meneja wa Manchester United, Jose
Mourinho ili kuondokana na kipindi hiki kigumu ndani ya Old Trafford.
Pogba ambaye ameweka rekodi ya usajili ndani ya United wa pauni milioni
89 amekuwa akisugua benchi huku Mourinho akimchagua Scott McTominay raia
wa Uingereza kucheza na fasi ya kiuongo ambayo huchezwa na Mfaransa
huyo katika mchzo dhidi ya.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24 nahitaji kupewa nafasi na Mourinho ilikuweza kuirudisha thamani yake tena.
Wakala wa mchezaji huyo, Mino Raiola ameanza kuchukua hatua za kutafuta
klabu ya kwenda staa huyo wa United ambayo itakuwa tayari kutoa dau nono
la usajili pamoja na kumlipa mshahara wa pauni 200,000 kwa wiki huku
Real Madrid inahusishwa na kumsajili Pogba.




Post a Comment