• Home
  • About
  • Contact

Tiktak Tanzania | Sports News and Scores

Habari za Michezo na Matokeo Mubashara

  • Home
    • MINGINEYO
    • DIMBANI
    • HABARI
    • MAKALA
    • KIMATAIFA
    • VPL
    • KIKAPU
    • KUHUSU SISI
    • MSA
    • WASILIANA NASI

    Featured

    Recent Posts

    DIMBANI

    SIMBA YAKOSA TIKETI YA KWENDA GOODISON PARK

    June 10, 2018
    Timu ya Simba imeshindwa kupata tiketi ya kwenda Uingereza kucheza na Everton baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Gor Mahia...Read More
    DIMBANI

    SINGIDA YAAMBULIA NAFASI YA TATU SPORTPESA

    June 10, 2018
    Singida United imeibuka mshindi wa tatu katika michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Kakamega Homeboyz kwa mikwaju ya penati ...Read More
    DIMBANI

    YANGA YAUNDA UONGOZI WA MPITO BAADA YA KUKUBALI MABADILIKO

    June 10, 2018
    Klabu ya Yanga imeunda kamati ya watu 12 kwa ajili ya kuiongoza timu katika kipindi hiki ambacho wamekubali kuingia katika mfumo mpya wa ...Read More
    DIMBANI

    KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOCHEZA DHIDI YA GOR MAHIA

    June 10, 2018
    1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Paul Bukaba 4. Erasto Nyoni 5. Yusuph Mlipili 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuya 8. Mzamiru  Y...Read More
    DIMBANI

    MZEE AKILIMALI: MABADILIKO YANGA NI LAZIMA

    June 09, 2018
    Katibu wa baraza la wazee wa timu ya Yanga,  Mzee Ibrahim Akilimali amesema kwa sasa hakuna mjadala kuhusu mabadiliko ya uendeshaji wa kl...Read More
    DIMBANI

    RASMI NGOMA NJE YA UWANJA WIKI TISA

    June 09, 2018
    Mshambuliaji mpya wa timu ya Azam, Donald Ngoma ataendelea kukaa nje ya uwanja kwa wiki tisa kutoka leo kuuguza jeraha la uvimbe wa got...Read More
    DIMBANI

    STRAIKA MBENIN ATHIBITISHA YUPO MBIONI KUTUA YANGA

    June 09, 2018
    Mshambuliaji Marcellin Koukpo raia wa Benin amethibitisha yupo mbioni kujiunga na Yanga ambao wameonyesha nia ya kutaka kumsajili muda m...Read More
    DIMBANI

    MASHABIKI WA SIMBA KUINGIA BURE KESHO FAINALI YA SPORTPESA

    June 09, 2018
    Uongozi wa klabu ya Simba umeweka utaratibu wa kuwalipia tiketi za kuingilia uwanjani mashabiki watakaosafiri kutoka nchini au sehemu nyi...Read More
    DIMBANI

    CHILUNDA MCHEZAJI BORA WA VPL MWEZI MEI

    June 08, 2018
    Mshambuliaji wa timu ya Azam, Shaban Idd 'Chilunda' amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi  mwezi Mei. Chilunda alifunga bao s...Read More
    DIMBANI

    YANGA YATANGAZA KUIKIMBIA SIMBA KAGAME

    June 08, 2018
    Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa haitoshiriki michuano ya kombe la Kagame ambayo wamepangwa kundi moja na watani wao Simba. Miamba h...Read More
    DIMBANI

    MBIVU, MBICHI MAJERAHA YA NGOMA KUJULIKANA KESHO

    June 08, 2018
    Uongozi wa klabu ya Azam umesema utaweka wazi juu ya majeraha yanayo msumbua mshambuliaji wao mpya Donald Ngoma kesho mbele ya Waandishi ...Read More
    DIMBANI

    MASOUD AUKUBALI MZIKI WA SALAMBA

    June 08, 2018
    Licha ya kucheza dakika chache katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya KK Homeboyz mshambuliaji mpya wa Simba, Adam Salamba amemvutia koch...Read More
    DIMBANI

    NI GOR MAHIA DHIDI YA SIMBA FAINALI SPORTPESA

    June 07, 2018
    Miamba ya soka Tanzania timu ya Simba itakutana na Gor Mahia katika fainali ya michuano SportPesa Super Cup itayofanyika siku ya Jumapili...Read More
    DIMBANI

    SIMBA YAPIGA HATUA MOJA KUELEKEA GOODISON PARK

    June 07, 2018
    Mabingwa wa Tanzania timu ya Simba imepiga hatua moja kwenda kucheza na Everton ya Uingereza baada ya kuingia fainali ya michuano ya Spor...Read More
    DIMBANI

    DROO YA UHAI CUP YAFANYIKA, KUANZA JUNI 9 DODOMA

    June 07, 2018
    Droo ya ligi ya vijana ya timu zinazoshiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL) imepangwa kufanyika leo ambapo michuano hiyo itaanz...Read More
    DIMBANI

    KIKOSI CHA SIMBA KINACHOCHEZA DHIDI YA KAKAMEGA

    June 07, 2018
    1,Aishi Manula 2,Shomar Kapombe 3,Mohammed Hussein 4,Paul Bukaba 5,Erasto Nyoni 6,Jonas Mkude 7,Shiza Kichuya 8,Mzamiru Yaasin 9,...Read More
    HABARI

    SAM WA UKWELI AFARIKI DUNIA

    June 06, 2018
    Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika  Hospitali ya Sinza Palestina alipokuwa amel...Read More
    DIMBANI

    MANULA HATIHATI KUIKOSA KAKAMEGA KESHO

    June 06, 2018
    Mlinda mlango namba moja wa timu ya Simba, Aishi Manula huenda akakosa mchezo wa kesho wa nusu fainali wa SportPesa Super Cup dhidi ya Ka...Read More
    KIMATAIFA

    MENDIETA AMTAHADHARISHA GRIEZMANN

    June 06, 2018
    Gaizka Mendieta amemuonya mshambuliaji Antoine Griezmann kuwa atacheza nyuma ya kivuli cha Lionel Messi kama atakubali kujiunga na  Barce...Read More
    KIMATAIFA

    DE BRUYNE AMTETEA GUARDIOLA INSHU YA YAYA TOURE

    June 06, 2018
    Kiungo Kevin De Bruyne amemtetea Meneja Pep Guardiola kuhusu tuhuma za kumbagua Yaya Toure. De Bruyne anaamini raia huyo wa Ivory Coast...Read More
    Older Posts Home
    Subscribe to: Posts ( Atom )

    STAY WITH US

    • Follow on Twitter
    • Like on Facebook
    • Subscribe on Youtube
    • Follow on Instagram

    Facebook

    Tiktaktz.com

    Popular Posts

    • BD YATAJA SIRI YA USHINDANI LIGI YA MKOA WA DAR ES SALAAM
      BD YATAJA SIRI YA USHINDANI LIGI YA MKOA WA DAR ES SALAAM
      Chama cha Mpira wa kikapu Mkoa wa Dar es salaam (BD) kimesema ushindani wa Ligi ya Mkoa kwa msimu huu umeongezeka kutokana na kila timu kuwa...
    • MAUMIVU YA GOTI YAMPELEKA NAHODHA WA AZAM FC AFRIKA KUSINI
      MAUMIVU YA GOTI YAMPELEKA NAHODHA WA AZAM FC AFRIKA KUSINI
      Nahodha wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, anatarajiwa kuelekea jijini Cape Town, nchini Afrika Kusini ...
    • TSA YAANDAA MASHINDANO YA MASTERS YA MCHEZO WA KUOGELEA YATAKAYOFANYIKA MACHI 03 JIJINI ARUSHA
      TSA YAANDAA MASHINDANO YA MASTERS YA MCHEZO WA KUOGELEA YATAKAYOFANYIKA MACHI 03 JIJINI ARUSHA
      Mashindano ya mchezo wa kuogelea yanayofahamika kama Masters yanatarajia kufanyika Aprili 03 mwaka huu Jijini Arusha kwa kushirikisha waogel...
    • TAMASHA LA SOKA LA WANAWAKE “LIVE YOUR GOALS” KUFANYIKA FEBRUARI HII  MJINI KIGOMA
      TAMASHA LA SOKA LA WANAWAKE “LIVE YOUR GOALS” KUFANYIKA FEBRUARI HII MJINI KIGOMA
      Tamasha la Soka la wanawake linalotambulika na Shirikisho la soka uliwenguni FIFA ambalo linafahamika kama “LIVE YOUR GOALS”  linataraj...
    • KOCHA AZAM FC  ASEMA KAMA HUWEKI UMAKINI WA KUSHINDA MICHEZO YA ASFC BASI TEGEMEA KUPATA TATIZO HILI.
      KOCHA AZAM FC ASEMA KAMA HUWEKI UMAKINI WA KUSHINDA MICHEZO YA ASFC BASI TEGEMEA KUPATA TATIZO HILI.
      Kocha wa Azam FC  Aristica Cioaba, amesema hataki timu yake ifanye makosa kwenye mchezo wa raundi ya 16 bora ya kombe la shirikisho nchi...
    • DAVID DE GEA AMEINGIA KWENYE REKODI HII BAADA YA MCHEZO WAO NA SEVILLA USIKU WA JANA.
      DAVID DE GEA AMEINGIA KWENYE REKODI HII BAADA YA MCHEZO WAO NA SEVILLA USIKU WA JANA.
      Klabu ya soka ya Manchester United wamerudi nchini Uingereza wakionekana hawana furaha sana baada ya kutoka sare na Sevilla katika mchezo ...
    • SINA HAJA YA KUWAJUA KWASABABU SIWAHOFII WAPINZANI WANGU, NAWAAMINI WACHEZAJI WANGU - KOCHA WA NGORONGORO HEROES, AMY NINJE
      SINA HAJA YA KUWAJUA KWASABABU SIWAHOFII WAPINZANI WANGU, NAWAAMINI WACHEZAJI WANGU - KOCHA WA NGORONGORO HEROES, AMY NINJE
      Kocha wa Kikosi cha Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania walionaumri Chini ya Miaka 20 “Ngorongoro Heroes” amesema, haofii chochote katika m...
    • SIMBA YAKOSA TIKETI YA KWENDA GOODISON PARK
      SIMBA YAKOSA TIKETI YA KWENDA GOODISON PARK
      Timu ya Simba imeshindwa kupata tiketi ya kwenda Uingereza kucheza na Everton baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Gor Mahia...
    • PAUL POGBA ANAMUHITAJI KOCHA MOURINHO ILI KUREJEA KATIKA FOMU YAKE.
      PAUL POGBA ANAMUHITAJI KOCHA MOURINHO ILI KUREJEA KATIKA FOMU YAKE.
      Paul Pogba anahitaji msaada wa meneja wa Manchester United, Jose Mourinho ili kuondokana na kipindi hiki kigumu ndani ya Old Trafford. ...
    • KIKOSI CHA SIMBA KINACHOCHEZA DHIDI YA KAKAMEGA
      KIKOSI CHA SIMBA KINACHOCHEZA DHIDI YA KAKAMEGA
      1,Aishi Manula 2,Shomar Kapombe 3,Mohammed Hussein 4,Paul Bukaba 5,Erasto Nyoni 6,Jonas Mkude 7,Shiza Kichuya 8,Mzamiru Yaasin 9,...

    Total Pageviews

    Blog Archive

    Labels

    DIMBANI HABARI KIKAPU KIMATAIFA KRIKETI KUOGELEA MAKALA MASUMBWI MINGINEYO NBA TIZI ULAYA VPL

    Pages

    • Home
    • KUHUSU SISI
    • MSA
    • WASILIANA NASI
    Created By SoraTemplates | Distributed By MyBloggerThemes