KUHUSU SISI

Ni blog ya kitanzania inayohusu habari za michezo,burudani na Habari nyinginezo.Blog hii imetokana na kituo cha kuibua kukukuza na kulea na kuendeleza vipaji vya watoto kinachoiitwa Mugeta Soccar Academy(MSA)Chenye makao yake makuu wilayani ukerewe Mkoani Mwanza.
Kupitia Blog hii unapata kufahamu mengi ya kimichezo sambamba na taarifa kuhusu MSA.Watu wote wanakaribishwa kushirikiana nasi katika malengo,maono na mipango yetu.
No comments