MUDA ATAKAO KAA NJE COMAN BAADA YA KUUMIA KATIKA MCHEZO DHIDI YA HERTHA BERLIN.
Kiungo mshambuliaji
wa klabu ya FC Bayern München inayoshiriki ligi kuu soka nchini humo maarufu kama Bundesliga pamoja na timu ya Taifa ya Ufaransa
Kingsley Coman atakuwa nje ya uwanja hadi mwisho wa msimu huu.
Na hii yote ni kutokana
na majeraha ya kifundo cha mguu aliyoyapata katika mchezo wao na Hertha
BSC Nyumbani Aliazni alena siku ya jumamosi Coman mwenye umri wa miaka 21 alifanyiwa Operation
hapo jana Tübingen chini ya Professor Dr.Ulrich Stöckle na Operation
hiyo inaelezwa kukamilika salama.
Coman Aliumia Katika mchezo dhidi ya Hertha BSC katika dakika ya 68 alipokuwa akipambambana kunyang‘anya mpira kwa faida ya timu yake ya Bayern mchezo uliomalizika kwa kutoshana nguvu kwa timu hiz.
Post a Comment