Parker Nipo Tayari kupambana na AJ Nimefuatilia mazoezi Yake Muda Mrefu Sasa
Mpinzani wa Anthony Joshua ambaye anatarajia kukutana naye mwezi ujao
bondia, Joseph Parker amekiri kufuatilia mazoezi ya maandilizi ya Joshua
katika kuelekea pambano lao Machi 31 mwaka huu.
Hayo yamekuja katika kipindi hiki ambacho Joshua amerejea katika kituo
chake cha mazoezi huko Sheffield English Institute of Sport na kutupia
picha ikionyesha namna mwili wake ulivyojengeka.
Parke alivyo ulizwa namna anavyo yaona mazoezi ya Joshua amesema
“Ukimtazama na kuyaangalia mazoezi yake anayofanya ni kama anafanya vitu
vipya na kuonekana kumuwia ugumu na kuonyesha kuwa anajiandaa kufikisha
raundi 12, amesema Joseph Parker kupitia mahojiano yake na Sky Sport.
Pambano la Joseph Parker raia wa New Zealander dhidi ya Muingereza
Anthony Joshua linatarajiwa kufanyika Las Vegas katika uwanja wa
Cardiff Machi 31 mwaka huu.
Post a Comment