JOHN TERRY AWAPA SIRI CHELSEA YA KUWAUWA FC BARCELONA UGENINI CAMP NOU.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, John Terry, amewatembelea wachezaji wenzake wa timu hiyo kwnye mazoezi.
Terry ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Aston Villa, ametembelea mazoezi hayo na kukutana na kocha Antonio Conte pamoja na wachezaji wenzake wa zamani wa timu hiyo.
klabu ya chelsea inajiyojiandaa kukutana na Fc Barcelona wikendi ijayo katika mchezo wa marejeano ugenini uwanja wa Camp Nou Nchini Hispania ambapo matumaini ya klabu hiyo ni kuushangaza ulimwengu kwa kuwatowa Fc Barcelona.
Follow us on Instagram @Tiktaktz ili uwe wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo yote ndani ya nchi na nje ya nchi.
Post a Comment