SIMBA, YANGA LEO VIWANJA VYA UGENINI KUSAKA NAFASI YA KUSONGA MBELE MICHUANO YA AFRIKA
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Afrika, Simba na Yanga leo wapo ugenini kwa michezo ya marudiano ya hatua ya 32 Bora.
Yanga watakuwa ugenini dhidi ya Township Rollers Uwanja wa Taifa mjini Gaborone, Botswana kuanzia Saa 10:45 jioni kwa saa za Afrika Mashariki ikiwa ni katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika na Simba watakuwa wageni wa Al Masry Uwanja wa Port Said nchini Misri kuanzia Saa 2:30 usiku.
Yanga wanahitaji lazima ushindi wa mabao 2-0 ili kwenda hatua ya makundi, baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Jumanne ya wiki iliyopita Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam huku kwa upande wa Simba SC wanataka ushindi wowote, hata wa 1-0 ili kusonga mbele katika hatua ya mwisho ya mchujo baada ya sare ya kufungana mabao 2-2 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam.
Yanga ikiitoa Rollers itakwenda hatua ta makundi ya Ligi ya Mabingwa, ambayo kihistoria itakuwa mara yake ya pili baada ya mwaka 1998, lakini ikitolewa itaingia kwenye kapu la kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho.
Simba SC ikishinda leo itacheza na moja ya timu zilizotolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Shirikisho, lakini ikitolewa itarejea nyumbani moja kwa moja.
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS LEO NI:
KIKOSI CHA SIMBA SC DHIDI YA AL MASRY LEO NI:
1. Aishi Manula
2. Nicholas Gyan
3. Asante Kwasi
4. Erasto Nyoni
5. Juuko Murshid
6. Jonas Mkude
7. James Kotei
8. Shomary Kapombe
9. John Bocco (c)
10. Emmanuel Okwi
11. Said Ndemla
WACHEZAJI WA AKIBA NI:
1. Said Mohamed
2. Mohammed Hussein
3. Yusuf Mlipili
4. Mwinyi Kazimoto
5. Laudit Mavugo
6. Mzamiru Yassin
7. Shiza Kichuya

- Youthe Rostand
- Juma Abdul
- Gadiel Michael
- Vicent Andrew
- Kelvin Yondani
- Said Juma
- Yusuph Mhilu
- Papy Kabamba
- Obrey Chirwa
- Pius Buswita
- Thaban Kamusoko
- Ramadhan Kabwili
- Abdallah Shaibu
- Nadir Haroub
- Juma Mahadhi
- Raphael Daud
- Ibrahim Ajib
- Geofrey Mwashiuya

Post a Comment