BORNA CORIC AMETINGA HATUA YA NUSU FAINALI YA MICHUANO YA INDIAN WELLS.

Mchezaji tennis, Borna Coric ametinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya wazi ya BNP Paribas Indian Wells baada ya kumfunga Anderson hapo jana siku ya Alhamisi.


Coric ametinga hatua hiyo baada ya mshinda Anderson kwa jumla ya seti 2-6 6-4 7-6 (7-3) Borna Coric sasa atakutana na Roger Federerkatika hatua inayo fuata.


Aidha Federer amefanikiwa kutinga hatua hiyo siku ya hapo jana siku ya Alhamisi usiku baada ya kumshinda Mkorea Kusini, Chung Hyeon kwa jumla ya seti 7-5 6-1.

Follow us on Instagram @Tiktaktz ili uwe wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo yote ndani ya nchi na nje ya nchi. 

No comments