NAHODHA WA YANGA NADIR HAROUB APATWA NA MSIBA HUU.
Nahodha wa Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, Nadir
Haroub 'Cannavaro' amepatwa na msiba wa kufiwa na mtoto wake
anayejulikana kwa jina la Anwar Nadir asubuhi ya leo katika hospitali ya
Taifa Muhimbili.
Hayo
yamethibitishwa na taarifa zilizotolewa na uongozi wa timu hiyo na
kusema Cannavaro amepokea habari hiyo ya msiba akiwa visiwa vya
Shelisheli na wachezaji wenzake.
"Mapema leo asubuhi Canavaro akiwa visiwa vya Ushelisheli amepata msiba wa mwanae Anwar Nadir Ally aliyefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya matatizo ya damu, Uongozi wa Yanga SC kwa ujumla chini ya Kaimu Mwenyekiti inatoa pole kwa Nahodha wetu pamoja na familia yake kwa ujumla kwenye kipindi hiki kigumu", imesema taarifa hiyo.
Uongozi wa Tiktaktza.blogspot.com unatoa pole kwa Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' kwa matatizo yaliyomfika pamoja na timu yake kiujumla.

Post a Comment