WAAMUZI WANNE WATANZANIA WAINGIA KWENYE TUHUMA ZA UPANGAJI WA MATOKEO MICHUANO YA AFRIKA
Waamuzi wa Tanzania waliosimamia mchezo wa Ligi ya Mabingwa wa
Afrika kati ya wenyeji Rayon Sports ya Burundi dhidi ya Lydia Ludic
ya nchini Rwand watuhumiwa kwa upangaji wa matokeo mara baada ya
kutokea sintofahamu iliyotokea siku moja kabla ya mchezo huo.
Katibu Mkuu wa TFF Wilfredy Kidau amesema, walipokea barua kutoka Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Februari 23 ikiwaataarifu juu ya tuhuma hizo ambapo waamuzi wanne wa Tanzania walikuwa sehemu ya mchezo huo ambapo tuhuma hizo zilitokea siku moja kabla ya mchezo ambapo viongozi wa Rayon Sports walikutwa kwenye chumba cha mmoja wa waamuzi hali iliyopeleka vurugu.
“Watanzania walioenda kuchezesha mchezo huo ni Mfaume Nassoro, Frank Komba ambaye alikuwa mwamuzi msaidizi namba Moja, Sudi Lila ambaye alikuwa mwamuzi msaidizi namba mbili na Israel Nkongo ambaye alikuwa ni mwamuzi wa akiba (Sports Officcially) sasa baada ya mechi hiyo baada ya kutypa taarifa kuhusu mechi hiyo ambayo kulitokea na sintifahamu wao wakahusisha na upangaji wa matokeo, ” amesema.
“Siku moja kabla ya mechi waamuzi wetu wakiwa kwenye hotel inasadikika viongozi wa timu ngeni kwa maana ya viongozi wa Rayon kwa sababu mechi ilikuwa inachezwa Burundi walikutwa kwenye chumba cha mmoja wa waamuzi wetu usiku siku ya kuamkia mechi, lakini vilevile ilitokea vurugu kubwa kwenye hoteli hiyo kwamaana ya wageni na wenyeji Lydia, ” amesema.
Kidau amesema, mara baada ya matukio yote hayo ilifikia hatua ya Polisi kuwashikilia wageni (Rayon Sports) na kutaka kujua ambapo kamishna wa mchezo ambaye naye alikuwa kwenye hoteli hiyohiyo alitoka na kuangalia kunachoendelea na akaripoti CAF ambao walianza kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio hilo ambapo Februari 27 waliandika barua kwa TFF wakitaka maelezo ya waamuzi waliokuwepo kwenye mchezo huo yafike mpaka ifikapo kesho ambayo ni Machi 06.
“Sisi baada ya kupata hizi barua tumekuwa tukilifuatilia hili jambo kwa karibu na pia tumekuwa tukifanya uchunguzi kwamaana ya kuwasiliana na wenzetu kwenye mashirikisho Burundi, rwanda, tumefanya mazungumzo na waamuzi wetu lakini vilevile tunekuwa tukipata taarifa kinachoendelea CAF na bahati nzuri hoteli waliyofikia waamuzi wetu ilikuwa na CCTV Camera kwahiyo kamishna wa mchezo huo kabla ya kuandika ripoti aliangalia kwanza video kwenye CCTV Camera, lakini mechi hiyo iliisha kwa Rayon kumfunga Lydia goli 1-0 na kufanikiwa kufuzu, ” amesema.
Kidau amesema, walipoongea na waamuzi wamekana kuwaona viongozi wa Rayon bali kulitokea vurugu kubwa katika hoteli hiyo.
Mwamuzi Israel Mujuni Nkongo (Kulia), Moja ya waamuzi walioingia katika tuhuma hizo

Post a Comment