KOVAC KUMRITHI JUPP HEYNCKES BAYERN MÜNCHEN
Mkurugenzi wa ufundi wa Club ya FC Bayern München Hasan Salihamidzic amethibisha hilo leo kuhusu Ujio wa Niko Kovac aliyekubali ofa ya kujiunga na mabingwa hao wa Bundesliga mara 6 kwa mpigo.
Kwa sasa Kovac anakinoa kikosi cha Eintracht Frankfurt hadi mwishoni mwa msimu huu kisha kujiunga na FC Bayern München.
Kovac anachukua nafasi ya kocha wa sasa wa mabingwa hao wa Bundesliga Jupp Heynckes ambaye baada ya msimu huu kuisha atastahafu kufundisha mpira.

Niko Kovac anatarajia kuanza kazi mnamo 1st July 2018.
Post a Comment