BRAZIL WAHOFIA KUMKOSA DANI ALVES KWENYE KOMBE LA DUNIA


Huku zikiwa zimesalia siku 14 kuelekea ufunguzi wa michuano ya kombe la Duniani huenda Brazil ikamkosa mlinzi wake mahiri wa kulia Dani Alves aliyepata majeraha ya goti la kulia.

Alves aliumia katika mchezo wa Coupe de France Final uliopigwa kati ya timu yake PSG dhidi ya Vendee Les Herbiers na PSG kuibuka na ushindi wa goli 2:0.

Alves mwenye umri wa miaka 35 anatarajiwa kukaa nje ya uwanja takribani majuma 3(week 3)

No comments