PIRLO KUWA KOCHA MSAIDIZI ITALY


Huenda Andrea Pirlo akawa kocha msaidizi timu ya taifa ya Italy chini ya kocha mkuu Roberto Mancini.

Pirlo alipoulizwa juu ya hilo alisema“Itakuwa vizuri sana kama ntafanya kazi ndani ya benchi la ufundi la timu ya taifa kwani ndo yalikuwa matumaini yangu toka mwanzo".

"Tunatakiwa kufungua ukarasa mpya ndani ya nchi yetu kwa kujifunza zaidi toka kwa Ugermany“,alisema Pirlo.

No comments