SIMBA YAKOSA TIKETI YA KWENDA GOODISON PARK June 10, 2018 Timu ya Simba imeshindwa kupata tiketi ya kwenda Uingereza kucheza na Everton baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Gor Mahia...Read More
SINGIDA YAAMBULIA NAFASI YA TATU SPORTPESA June 10, 2018 Singida United imeibuka mshindi wa tatu katika michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Kakamega Homeboyz kwa mikwaju ya penati ...Read More
YANGA YAUNDA UONGOZI WA MPITO BAADA YA KUKUBALI MABADILIKO June 10, 2018 Klabu ya Yanga imeunda kamati ya watu 12 kwa ajili ya kuiongoza timu katika kipindi hiki ambacho wamekubali kuingia katika mfumo mpya wa ...Read More
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOCHEZA DHIDI YA GOR MAHIA June 10, 2018 1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Paul Bukaba 4. Erasto Nyoni 5. Yusuph Mlipili 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuya 8. Mzamiru Y...Read More
MZEE AKILIMALI: MABADILIKO YANGA NI LAZIMA June 09, 2018 Katibu wa baraza la wazee wa timu ya Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amesema kwa sasa hakuna mjadala kuhusu mabadiliko ya uendeshaji wa kl...Read More
RASMI NGOMA NJE YA UWANJA WIKI TISA June 09, 2018 Mshambuliaji mpya wa timu ya Azam, Donald Ngoma ataendelea kukaa nje ya uwanja kwa wiki tisa kutoka leo kuuguza jeraha la uvimbe wa got...Read More
STRAIKA MBENIN ATHIBITISHA YUPO MBIONI KUTUA YANGA June 09, 2018 Mshambuliaji Marcellin Koukpo raia wa Benin amethibitisha yupo mbioni kujiunga na Yanga ambao wameonyesha nia ya kutaka kumsajili muda m...Read More
MASHABIKI WA SIMBA KUINGIA BURE KESHO FAINALI YA SPORTPESA June 09, 2018 Uongozi wa klabu ya Simba umeweka utaratibu wa kuwalipia tiketi za kuingilia uwanjani mashabiki watakaosafiri kutoka nchini au sehemu nyi...Read More
CHILUNDA MCHEZAJI BORA WA VPL MWEZI MEI June 08, 2018 Mshambuliaji wa timu ya Azam, Shaban Idd 'Chilunda' amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi mwezi Mei. Chilunda alifunga bao s...Read More
YANGA YATANGAZA KUIKIMBIA SIMBA KAGAME June 08, 2018 Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa haitoshiriki michuano ya kombe la Kagame ambayo wamepangwa kundi moja na watani wao Simba. Miamba h...Read More
MBIVU, MBICHI MAJERAHA YA NGOMA KUJULIKANA KESHO June 08, 2018 Uongozi wa klabu ya Azam umesema utaweka wazi juu ya majeraha yanayo msumbua mshambuliaji wao mpya Donald Ngoma kesho mbele ya Waandishi ...Read More
MASOUD AUKUBALI MZIKI WA SALAMBA June 08, 2018 Licha ya kucheza dakika chache katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya KK Homeboyz mshambuliaji mpya wa Simba, Adam Salamba amemvutia koch...Read More
NI GOR MAHIA DHIDI YA SIMBA FAINALI SPORTPESA June 07, 2018 Miamba ya soka Tanzania timu ya Simba itakutana na Gor Mahia katika fainali ya michuano SportPesa Super Cup itayofanyika siku ya Jumapili...Read More
SIMBA YAPIGA HATUA MOJA KUELEKEA GOODISON PARK June 07, 2018 Mabingwa wa Tanzania timu ya Simba imepiga hatua moja kwenda kucheza na Everton ya Uingereza baada ya kuingia fainali ya michuano ya Spor...Read More
DROO YA UHAI CUP YAFANYIKA, KUANZA JUNI 9 DODOMA June 07, 2018 Droo ya ligi ya vijana ya timu zinazoshiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL) imepangwa kufanyika leo ambapo michuano hiyo itaanz...Read More
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOCHEZA DHIDI YA KAKAMEGA June 07, 2018 1,Aishi Manula 2,Shomar Kapombe 3,Mohammed Hussein 4,Paul Bukaba 5,Erasto Nyoni 6,Jonas Mkude 7,Shiza Kichuya 8,Mzamiru Yaasin 9,...Read More
SAM WA UKWELI AFARIKI DUNIA June 06, 2018 Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina alipokuwa amel...Read More
MANULA HATIHATI KUIKOSA KAKAMEGA KESHO June 06, 2018 Mlinda mlango namba moja wa timu ya Simba, Aishi Manula huenda akakosa mchezo wa kesho wa nusu fainali wa SportPesa Super Cup dhidi ya Ka...Read More
MENDIETA AMTAHADHARISHA GRIEZMANN June 06, 2018 Gaizka Mendieta amemuonya mshambuliaji Antoine Griezmann kuwa atacheza nyuma ya kivuli cha Lionel Messi kama atakubali kujiunga na Barce...Read More
DE BRUYNE AMTETEA GUARDIOLA INSHU YA YAYA TOURE June 06, 2018 Kiungo Kevin De Bruyne amemtetea Meneja Pep Guardiola kuhusu tuhuma za kumbagua Yaya Toure. De Bruyne anaamini raia huyo wa Ivory Coast...Read More